💥💥🔨SIFA 15 ZA MKE MPUMBAVU🔥🔥 👉�1.Anamkomoa mumewe🏹🏹 👉�2.Analala mapema kabla ya mumewe.💤💤 👉�3.Anachelewa kuamka kabla ya mumewe.👀 👉�4.Mbishi, anahic kuonewa mda wote👅👅 👉�5.Anadhani kumnyima mumewe unyumba ni kumkomoa.👙👙 👉�6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu Mafanikio ya familia za wa2.🎓🎓🎓🍞 👉�7.We unajenga family ye anajenga Kwao. 🏡🏡🏠🏚 👉�8.Mkikaa 2 anaanza umbea kuponda Ndugu na majirani👅👅👅👅 👉�9.Anajali ajira/biashara yake hataki kufuatiliwa mambo yake.💵💵💵 👉�10.Ni mzito katika mambo ya ibada wakat mwengne anadanganya kuwa kafanya kumbe hajafanya.🕌🕌🕌 👉�11.Anaona tabu kupangiwa mambo na mumewe anatamani yeye ndo awe mpangaji mambo kwa mumewe.👌💅🏿💅🏿👄 👉�12.Hatosheki mumewe kuona uzuri na mapambo yake bali anatamani wengne waone apate sifa.👙💋👗💄 👉�13.Hataki mmewe aoe mke wa pili,kwake ni bora mmewe awe na vimada nje kuliko yeye kumjua mke mwenzie.👌👌👌❌❌ 👉�14.anawaza pesa tu na maisha ya kifakhari,hawaz
i aakhera wala namna ya kupata pepo💵💵🚘✈ 👉�15.Ni mzururaji,safari hazimuishi kila mara anaomba ruhusa akinyimwa ananuna..👢👠👠👡
0 Response to "SIFA 15 ZA MKE MPUMBAVU"
Post a Comment