Jinsi ya kumuudumia mwanammke mwenye makalio makubwa - Bongo Loves

Jinsi ya kumuudumia mwanammke mwenye makalio makubwa


 Image result for big black ass


Kiasilia wanaume tunatakiwa kujiamini, lakini si kila mwanaume anajiamini. Kuna sababu nyingi za kumfanya mwanaume asijiamini, kubwa ni elimu yake, maumbile yake (ya ndani), muonekano wa nnje, uwezo wa kifedha na aina ya mwanamke ambaye kamuoa/yuko naye (kama kamzidi elimu/kipato au ni mzuri sana). Kwa mwanamke kuishi na mwanaume ambaye hajiamini ni moja kati ya kazi ngumu sana.

Kila kitu utakachokua ukikifanya basi huona kama unamdharau au huona kama unamringishia, kila mtu wako wa karibu basi huwa kama anashindana naye. Ni ngumu sana kwa mwanamke kuwa na furaha kama mwanaume uliyenaye hajiamini kwa namna yoyote ile. Sasa kuna wakati unakuta ndoa yako haina furaha, unajiuliza ni kwanini? Hujui ni kwanini hupatani na mume wako? Hujui kwanini hakuhudumii au anakutukana kila siku, inawezekana ni kwakua tu hajiamini, kama ulikua hujui basi hizi ni dalili kuwa mwanaume uliyenaye hajiamini.

(1) Aanakua Na Wasiwasi/Anatilia Shaka Kila Kitu Unachokifanya; kwake yeye hakuna kitu utakifanya aone kama umekifanya kwa nia nzuri, ukitafuta kazi anasema ni ili uwe na wanaume wengine, ukihudumia watoto anasema ni ili uonekane una hela. Haamini kua unaweza kufanya kitu bila kuwa na ajenda yakumsaliti, kumfanya aonekane mbaya au kuonekana una kiburi kwake yeye hakuna kitu kizuri, kila unachokifanya lazima atafute nia mbaya ndani yake.

0 Response to "Jinsi ya kumuudumia mwanammke mwenye makalio makubwa "

Post a Comment