MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA" - Bongo Loves

MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA"

Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya 'Mahaba', amepiga stori na Global TV na kuizungumza tamhiliya yake pamoja na soko zima la filamu... Mwijaku pia amezungumzia kuhusiana na ndoa ya mwanamuziki Alikiba inayodaiwa kuvunjika, akiwa kama mtu wa karibu na Kiba, amesema ndoa hiyo haijavunjika isipokuwa kuna migogoro ya hapa na pale inayosababishwa na mwanamke huyo kutokubaliana na ukweli kwamba mumewe ni supastaa wa dunia... 
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA""

Post a Comment