Mo Dewji Ajibu Tetesi Zilizozagaa Kuhusu Kuondoka Simba - Bongo Loves

Mo Dewji Ajibu Tetesi Zilizozagaa Kuhusu Kuondoka Simba

Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba ambaye ni mwekezaji wa timu hiyo, Mohammed Dewji, amejibu taarifa kuhusu kujiondoa Simba

Taarifa hizo zilianza kusambaa usiku wa jana katika mitandao ya kijamii, lakini mwenyewe amejitokeza na kuweka bayana kinachoendelea.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mo Dewji amesema, "watu wenye nia mbaya. Kazi yao sio kujenga, ni kuvunja tu. Kaa nao mbali. Narudia kaa nao mbali sana!".
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "Mo Dewji Ajibu Tetesi Zilizozagaa Kuhusu Kuondoka Simba"

Post a Comment