KWANINI HAYA YANATOKEA KWENYE MAPENZI??
Ananipenda sana, ila sina hisia nae hata kidogo...
Hana kasoro yoyote, ana sifa zote kuitwa mke, lakini mimi simpendi...
Hajawai nikosea, kila siku mimi ndio namkosea lakini haniachi..
Ananipenda sana, muda mwingi anazungumza kuhusu ndoa, anawapenda na wazazi wangu pia
Sijui kwanini mimi simpendi, yani namtamani tu pale napokuwa N.y,ege..
Kwa mambo makubwa alionifanyia naogopa kumwambia simpendi.. Nahis anaweza ata kuniua
DAH,
0 Response to "KWANINI HAYA YANATOKEA KWENYE MAPENZI??"
Post a Comment