Boeing Yatangaza Kulipa Mabilioni ya fedha kwa Familia Zilizopoteza Ndugu kwenye Ajali ya Ndege ya Ethiopian - Bongo Loves

Boeing Yatangaza Kulipa Mabilioni ya fedha kwa Familia Zilizopoteza Ndugu kwenye Ajali ya Ndege ya Ethiopian

Kampuni ya Boeing imetangaza kulipa fidia ya Dola $100  sawa na Tsh Bil. 229 kwa familia zote zilizopoteza ndugu zao kwenye ajali ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopian Airline mapema mwaka huu.



Taarifa hiyo iliyotolewa jana na kampuni hiyo, Imeonesha kuwa italipa fedha hizo kwa Jamii na familia ili kuwasaidia kuwasomesha watoto wa ndugu waliopoteza maisha

USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "Boeing Yatangaza Kulipa Mabilioni ya fedha kwa Familia Zilizopoteza Ndugu kwenye Ajali ya Ndege ya Ethiopian"

Post a Comment