HUYU MWANAMKE ANATAKA KUNIFILISI NIRUDI BUSH - Bongo Loves

HUYU MWANAMKE ANATAKA KUNIFILISI NIRUDI BUSH

Huyu demu nimekutana nae jana pale kiwandani kwangu, sikuwa na simu kwa wakati huo kwa sababu nilikuwa busy, nilimpatia namba yangu ikiwezekana anicheki mida flani ya Night,
Ukweli usiku ulivyofika kanicheki na kwa sababu nilikuwa nimechoka sana nilimwambia nitamtafuta leo,
Sasa basi ile kuamka tu nakutana na meseji kutoka kwake eti my Umeamkaje? Kumbuka sijamtongoza wala kumgusia chochote,
Mchana huu nakutana na sms "my umeshakula" nikaona ngoja nichati chati nae kidogo aisee muda huu sasa kilichotokea Naombwa vocha"kumbuka bado sijamtongoza wala kummenya lakini ameshaanza hivyo,
Je huyu kiumbe kweli ataniacha salama huko mbeleni na hichi kiwanda changu kama Hela ya kununua vocha yenyewe tu hana je atakuwa na hela ya Kula kweli au anataka niwe mufirisi nitafutwe kwa madeni hapa mjini?
CC Zero IQ
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "HUYU MWANAMKE ANATAKA KUNIFILISI NIRUDI BUSH"

Post a Comment