MKE WA BOSS ANANITEGA - Bongo Loves

MKE WA BOSS ANANITEGA

Kibarua changu kipo hatarini kuota mbawa, anayeniponza ni mke wa boss. Boss wangu ni mtu mzima kidogo umri umeenda lakini mke wake ni kabinti kadogo alafu bado kabichi kabisa ni kabinti ambako saizi yake ni kijana mchapakazi kama mimi. Nimeingia kwenye mtihani mzito mimi ni Dereva mara nyingi huwa namchukua na kumpeleka anapotaka tukiwa wawili tu mimi na yeye nguo anazovaa ni full mtego naona hadi pichu ya jana nyeupe, ya leo nyekundu namuheshimu kama boss story anazoniambia ndio zilezile ivi unamke? Mara unamtoto, mara nihamie kwake, tukiwa tunakula mara anikanyage makusudi ilimradi tu visa. Sasa wikendi ndo ilikuwa balaa badala atoke na mumewe anatoka na mimi aliniambia nimpeleke akaogelee kufika huko ananiambia vua nguo tuoge. Jamaniii! Ni zaidi ya visa kibarua nakipenda lakini ndo hivyo kinaota mbawa. Nikimduu boss akijua si ataniua, achilia mbali kazi ishtoshe mzee mwenyewe pisto kiunoni.USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍

0 Response to "MKE WA BOSS ANANITEGA"

Post a Comment