HII KALI YAJUE MAJINA YA WNAUME NA SIFA ZAO - Bongo Loves

HII KALI YAJUE MAJINA YA WNAUME NA SIFA ZAO

1. Andrew-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu 5. Joseph/Josephat/yusuph-kicheche 6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa 7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu 8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri 9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege 10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia 11. Prosper-hajui habari za mapenzi 12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie (kuwadi) 13. Aaron-maneno mengi ila vitendo sifuri 14. Costantine-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu 15. Elvis-handsome ila hapendwi na mademu 16. Edward-serious sana kwenye mapenzi 17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha 18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi 19. Mohammedy-anapenda watu waliomzidi umri 20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya 21. Alpha-wanapenda sifa kwa wanawake ili wapendwe 22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli 23. Elias-wanapenda mademu ila wanaogopa kuwaambia 24. Frank-huyu mpole wanawake wanajitongozesha wenyewe 25. Joachim-hana habari na mademu,anaamini ipo ataoa tu 26. Omary-anapenda achape tu atembee 27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa 28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu 29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii 30. Benard-akipenda kapenda 31. Juma-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa 32. Kassimu- anapend utukufu na kusifiwa hata na mkewe 33. Khalid -msumbufu na anapenda kupedwa kuliko kupenda wanawake 34. Daniel-anawivu sana mjanja na anapenda kujua mambo yaliyojuu ya uwezo wake. 35. Said-hajui kupenda na huwa anatamaa hasa kwa bint weupe. 36. Rajabu-mgumu kumuamin mwenza wake. 37. David-Kupenda kujionesha mbele ya wanawake kwamba anauwezo mkubwa hata kama hana. 38. Farid-Mpenda wanawake warefu wenye mwanya na shepu. 39. Rama-hupenda kusikilizwa yeye tuu na anapenda wanawake wenye makalio makubwa hasa wanene. 40. Seleman-anapenda ngono. 41. Issa -huwa na msimamo hasa katika maamuzi yake hat kwa mwenza wake 42. Fadhili- vitu vyake ni vya siri saana na hata mwenza wake ni ngumu kujua 43. Charles -Hapend kudumu katika mahusiano na hupenda kuwa pek yake 44. Karimu- hupenda kuwa na wanawake weupe 45. Laurence-hunyanyasika kwenye mahusiano hata huweza kulia hovyo 46. Masoud- anajua kujali na kuheshimu ndoa yake ila mkali sana. 47.Hamad-mpole pia hapend kutoa siri zake kwa mwenza wake pia hupend kunyenyekew na mpenz wake 48. Hasani -hupenda kupewa kuliko kutoa hata kwa wenza Wap 49. Alen-hupenda kulaumu hata kwa jambo dogo na hupend wanawak weupe 50. Luka- wanapenda kwa mda ukijichanganya utaumia ukiwa nae. 51. Jafari- Hupenda wake za watu. Je wewe jina lako lipi?USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍

0 Response to "HII KALI YAJUE MAJINA YA WNAUME NA SIFA ZAO"

Post a Comment