Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake - Bongo Loves

Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake


#TATIZO LA #NGUVU ZA #KIUME NA CHANZO CHAKE.
Zaid ya asilimia 60 ya wanaume wote duniani wanakumbwa na UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo hili limesababisha ndoa nying kuyumba na nyingine kuvunjika kabsa.
NINI CHANZO CHAKE??
Wataalam wa afya kupitia tafiti tofauti inaonekana;
1.Kukosa chakula bora asilia kuupatia mwili wa mwanaume uwezo wa kuzalisha manii, hormone na kuimarisha misuli na mishipa limekuwa tatzo.
2.Ongezeko la uzito kwa watu wengi utokanao na ulaji wa wanga, ngano, mafuta n.k kwa wengi.
3.Kujichua/masturbation kwa vijana na baadhi ya watu wazima
4.Msongo wa mawazo {over stress} kutokana na shughuli nyingi za kila siku, ugumu wa maisha, kudharauliwa hasa na wapenzi wao n.k
Hizi ni bidhaa maalum na teule kurudisha HESHIMA NA UANAUME WAKO NA HESHIMA YA NDOA KWA UJUMLA, kutoka kampuni yetu zilizothibitishwa kuwa za asili na kutokuwa na kemikali za aina yoyote.
1.ALOEVERA GEL
Hiki ni kinywaj halisi cha aloe vera (inayoaminika kuwa bora kuliko zote dunian), ina sifa kubwa ya kuondoa sumu mwilini, kusafisha mfumo wa chakula na kusaidia Kinga za mwili. Kinywaj hiki kina virutubisho vingi ambavyo mwili wa binadam unahitaji.
2.ARGI+
Ni ungaunga utokanao na matunda mengi aina ya berries (strawberry 🍓, cranberry, blueberry, grapes 🍇 n.k}. Ina L-arginine ambayo ina protin nyingi katika mfumo wa amino acids. Itasafisha sumu, kuweka sawa mzungko wa damu, kuleta hamu ya tendo la ndoa na kuupa mwilini virutubisho ving muhimu.
3.MULTI - MACA
Inatokana na mzizi wa mmea ambao zaman zaid ya miaka 2000 iliopita huko nchini Peru uliitwa Maca, uliotumika kuwapa nguvu wanawake na wanaume katika shughul zao za kila siku, inaleta hamu ya tendo la ndoa, nguvu za kufanya tendo kwa kurudia bila kuchoka kirahis, kutoa mbegu nying na nzito na kusaidia mfumo wa uzazi kwa ujumla.
Wewe unaweza usiwe muathirika Wa hili tatizo ila ukawa unamjua au unamfahamu yeyote mwenye changamoto hii aidha ni ndugu,jamaa,rafiki,au Jirani yako.
Usisite kumpatia taarifa hizi nzuri za afya ili kurudisha heshima ya ndoa mahali pake.
NB: kumbuka tu, hizi siyo dawa. Ila ni virutubisho (nutritional supplements

0 Response to "Tatizo la nguvu za kiume na chanzo chake"

Post a Comment