Hii chain ya mahusiano ni shida - Bongo Loves

Hii chain ya mahusiano ni shida


BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando):
Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution:
wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy wake ambaye ndo (BOSS):
Dear hakuna tution wiki hii nakuja kwako…..
BOSS anamwambia sekretari wake:
Siendi Serena tena coz mjukuu wangu atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango):
dah! mpenzi, huyu fala haendi tena. Shit! So hadi next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia mwanafunzi):
Darasa kama kawaida sorry for the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution
inaendelea kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya serena iko palepale……

0 Response to "Hii chain ya mahusiano ni shida"

Post a Comment