Siri za kumpata mpenzi bora - Bongo Loves

Siri za kumpata mpenzi bora


Jinsi ya kupata mpenzi bora
1_ lazima na wewe uwe bora kwanza
2_ lazima na wewe ujiheshimu
3_ kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!
4_ ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma
5_ ukikosa kabisa
njoo kwangu nikulambe vibao akili ifunguke 😝😝😝😝
UTANI LAKINI UMEELEWA

0 Response to "Siri za kumpata mpenzi bora"

Post a Comment