dalili za kuwa na jini mahaba
DALILI ZA JINI MAHABA HIZI HAPA:
1. Kuumwa kichwa sana bila ya 7bu zinazo
julikana ki daktari.
2. Uzito ktk Mabega au hata kichwani
kwenyewe.
3. Kuota vitu vya kutisha usingizini.
4. Kuchukia kuona au kuolewa km bado
hujaoa au kuolewa.
5. Kwa alie Oa au kuolewa huchukia Tendo la
ndoa
6. Kupatwa na maumivu wakati wa kufanya
tendo la ndoa
7. Baadhi ya wanawake hukosa Maji maji
katika UKE wakati wa kufanya tendo la ndoa
na hivyo wakati mwingine hupatwa na
michubuko endapo lita lazimishwa tendo hilo
8. Baadhi ya wanaume hushindwa kumalizia
vizuri tendo la ndoa au kumaliza haraka zaidi
na kisha kupatwa na usingizi Mzito Mara tu
baada ya kumaliza Tendo la ndoa.
9 Km una mke au Mme hutaki kufanya nae
tendo la ndoa na usiku huo ulio kataa unaota
unafanya na mtu mwingine.
10.Kuwa na hasira za ajabu wakati wa
kuamka asubuhi.
11.Wakati mwingine huona km kuna mtu
kakuinamia wakati ukiwa umelala taa
imezima(kiza)
12.Wakati mwingine huhisi km kuna mtu
anatembea ndani ya chumba ulicho lala.
Ukijaribu kuwa makini kumsikiliza au
kuwasha taa humuoni mtu yeyote.
13.Baadhi ya wanawake huvurukiga siku zao
za mwezi kunako ambatana na baadhi ya
dalili hizo hapo juu ikiwa ni pamoja na
kuingiliwa kimapenzi Usingizini.
14.Baadhi ya wanawake hupotea sehemu
zao za siri wakati wa kutaka kuingiliwa na
wanaume.
15. Kuota unaoa au unaolewa(harusi yako)
Usisahau kushea ku like na kukoment
ujuavyo na sisi tujifunze kutoka kwako mtu
wangu wa nguvu.

0 Response to "dalili za kuwa na jini mahaba"
Post a Comment