MAHAWARA WANAOFANIKIWA KUNG’ANG’ANIWA
Read More
Katika
kazi yangu ya kutoa ushauri nimeongea na watu wengi waliomo kwenye ndoa na pia
wezi wa mapenzi. Inaumiza sana kugundua kuwa mpenzi uliyekuwa umemwamini sana
kumbe alikuwa anakusaliti kwa muda mrefu na si ajabu wengine utakuta wamezaa na
mahawara.
Kwa
kuwa asilimia 97% ya wateja wangu ni wanaume tafiti yangu imenisaidia kuona
vitu ambavyo kwa sehemu kubwa hupelekea mwanaume kung’ang’ania hawara kwa muda
mrefu. Nimeorodhesha mambo ambayo wake au wapenzi wa kike (kwa wale ambao
hawajaolewa) husindwa kufanya na mahawara hufanya kwa bidii na usahihi zaidi.
MAHAWARA WENGI
HUONYESHA UPOLE
Hawara
ni mtu ambaye anataka kupendwa na ampatapo mwanaume ambaye tayari ana mpenzi au
mke anajijua kuwa ameingia kwenye mashindano na hakuna anaefurahi kushindwa.
Hawara atakuwa mpole na ataonyesha upole huo kwa jinsi anavyoongea nae,
halazimishi au kung’ang’ania jambo fulani. Atatumia sauti za kimahaba na macho
yenye kuonyesha penzi analohitaji mwanaume. Kwa mwanaume ambaye kazini au
katika mahangaiko ya kimaisha anapata changamoto nyingi anahitaji mtu mwenye
sifa hizo na zaidi mwanamke asiyeleta madai ya hili na lile anakuwa faraja kwa
nafsi iliochoka. Mwanamke anayemfanyia mwanaume mambo anapohitaji bila ya
mwanaume kufumbua mdomo wake anaonyesha jinsi gani anajali uchovu wa mwanaume.
Hali hii huwashinda wake wengi kwani wanaona wamezoeana hawaoni hatari
wanayotengeneza kwa uzembe huo.
MAHAWARA HUANZISHA TENDO LA NDOA
Nimefanya
utafiti miongoni mwa makahaba na kuona kuwa makahaba wanajua udhaifu mkubwa wa
wanaume kuliko watu wengi waliomo kwenye ndoa. Kahaba anajua kuwa wanaume
wanapenda tendo la ndoa basi wapatapo mwanaume huuliza mwanaume anahitaji tendo
la ndoa kwa mtindo gani?. Mahawara wanawazidi makahaba kwani wao huanzisha tendo
la ndoa kwa mbinu mbalimbali na kwa maneno matamu humweleza mwanaume jinsi gani
anavyomiss tendo la ndoa ,na pia huelezea kwa nini hufurahia tendo la ndoa.
Hawara anapokuwa chumbani na mwanaume huwa hachelewi kuvua nguo au kuanza
kumvua nguo mwanaume
Wanawake
wengi wangependa tendo la ndoa litanguliwe na mazungumzo ya kawaida ndipo tendo
la ndoa lifuate wakati wanaume wangependa kuanza tendo la ndoa na mazungumzo
yafuate.Tofauti hizi humchanganya akili mwanaume na mwishowe anamwona mkewe
kuwa ni wa daraja la chini kabisa na mtazamo huu ndio unaopelekea tendo la ndoa
kufanyika mara chache kwa wiki.Kupungua kwa kasi hii kunamletea hawara sifa
nyingi kwani hawara hakubali mwanaume aishie roundi moja tu jambo ambalo wake
wengi huliona kuwa la kwaida kabisa.
Utaona
vizuri uzito wa jambo hilo iwapo utafahamu kuwa wanaume wengi baada ya roundi
ya kwanza ya tendo la ndoa hupata shida kuanzisha roundi ya pili na jambo hilo
husumbua akili na moyo wa wanaume wengi sana. Wanawake wangefahamu hilo basi
wanaume wasingeona kuwa ni tatizo kuchelewa kupata roundi ya pili.
Mahawara
wameliona hilo na wanafanikiwa kuwaonyesha wanaume utofauti uliopo kati ya
hawara na mke.
MAHAWARA HUWA NA
SHUKRANI KWA SHANGWE ZAIDI
Wanaume
hupenda kujisikia kuwa wanafanikiwa katika kila jambo na mwanamke anapoonyesha
shukrani zake kwa shangwe baada ya kufanyiwa jambo fulani huleta furaha kwa
mwanaume. Hawara hutoa shukrani kwa kukumbukwa na kupigiwa simu au kutumiwa SMS
na mengi kama hayo.Mambo hayo madogo madogo humfanya mwanaume ajione kuwa ni wa
thamani na ni mtoshelezaji muhimu kwa mwanamke huyo.
MAHAWARA HUWEKEZA
KATIKA MUONEKANO WAO
Kumvuta
mtu ni rahisi lakini kudumisha hali ya mvuto ni kazi kubwa. Mahawara hujitahidi
kuangalia uzito na unene wa miili yao, huvaa nguo ambazo hutibua tamaa ndani ya roho na mwili wa mwanaume. Ili
kufanikisha hilo mahawara huwekeza katika kutafuta mavazi mazuri na ya kiwango.
Huchagua mitindo mizuri ya nguo ili kudumisha mvuto Kwa mwanaume.
MAHAWARA HUPENDELEA
KUCHEZEA UUME WA MWANAUME NA PIA WAO WENYEWE KUCHEZEWA UKE WAO
Mwanaume
ni uume, na iwapo mwanamke atajitunza na kufaulu kutumia mbinu mbalimbali
kuchezea uume kwa ustadi mkubwa basi huyo atakuwa na nafasi kubwa katika moyo
wa mwanaume huyo.
Wanawake
wengi hupuuzia na kutojali eneo hili na mara nyingi ninapoongea na wanawake
najikuta nashangaa kwanini eneo hili linakuwa giza nene kwa wengi .Uume na
korodani za mwanaume ni eneo muhimu katika kumridhisha mwanaume wakati wa tendo
la ndoa na ni wajibu wa mwanamke kutafuta njia za kumsisimua mwanaume katika
maeneo haya.
MAHAWARA HUKUBALI
KUFANYA TENDO LA NDOA MARA NYINGI ZAIDI
Kama
nilivyotangulia kusema hapo juu ni kweli mahawara hujua udhaifu wa wanaume upo
katika tendo la ndoa hivyo huwa hawatoi visingizio vyovyote vya kukataa tendo
la ndoa pale mwanaume anapohitaji.
Mahawara
hufanya hivyo hata pale ambapo hawajisikii kufanya hivyo ili mradi tu wanaona
mwanaume anafurahi uhusiano huo mara kwa mara.
Ili
uweze kuona kazi waliyonayo hebu angalia mafundisho ya mtu mmoja ambae
anafundisha mahawara. Yafuatayo ni masharti ya kuwa hawara
(1) UWE MSIRI
Kumbuka kwamba iwapo
utasababisha mke wake ajue siri ya mume wake huyo mwanaume atakuchukia mara
moja
(2) FANYA KAZI YA ZIADA KULIKO MKE
WAKE
Wewe unaweza kuachika
mke wake sio rahisi kwani wana watoto na hata wakiachana itawapasa wagawane
mali zote. Kumbuka kuwa anachotafuta kwako ni starehe na faraja asahau maumivu
mbalimbali, jitahidi umpe vitu adimu ambavyo havipati toka kwa mke wake fanya muda muwapo pamoja
kuwa vigumu kusahaulika kwake.
0 Response to " MAHAWARA WANAOFANIKIWA KUNG’ANG’ANIWA"
Post a Comment