Mchungaji Afunga Kanisa Kwa Tuhuma za Kumbaka Mke wa Msanii - Bongo Loves

Mchungaji Afunga Kanisa Kwa Tuhuma za Kumbaka Mke wa Msanii

Read More


NIGERIA: Mchungaji wa kanisa la Commonwealth Of Zion Assembly, Biodun Fatoyinbo amesitisha kuendesha shughuli za kiroho katika kanisa lake, kufuatia tuhuma za kumbaka Busola Dakolo, mke wa mwanamuziki Timi Dakolo. Busola amedai mchungaji huyo alimbaka mara mbili kabla hajatimiza umri wa miaka 18.
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "Mchungaji Afunga Kanisa Kwa Tuhuma za Kumbaka Mke wa Msanii"

Post a Comment