Kennedy Juma wa Singida United Atua Simba Alamba Mkataba wa Miaka Miwili - Bongo Loves

Kennedy Juma wa Singida United Atua Simba Alamba Mkataba wa Miaka Miwili


MCHEZAJI wa Singida United, Kennedy Juma,  leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.

Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "Kennedy Juma wa Singida United Atua Simba Alamba Mkataba wa Miaka Miwili "

Post a Comment