DIAMOND ATUA NA HELKOPTA KAHAMA, APOKELEWA KIFALME – - Bongo Loves

DIAMOND ATUA NA HELKOPTA KAHAMA, APOKELEWA KIFALME –


DIAMOND ATUA NA HELKOPTA KAHAMA, APOKELEWA KIFALME – 

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB, Ameandika historia ya aina yake mjini Kahama baaada ya kutua na Helicopter katika uwanja wa tiafa ambapo anatarajia kufanya shoo leo.
Diamond amesema wakazi wa Kahama na vitongoji vyake wakae mkao wa kula kupokea burudani atakayogonga katika Uwanja wa Taifa mjini Kahama leo Jumatano, Juni 5, 2016.

TAZAMA TUKIO ZIMA



USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "DIAMOND ATUA NA HELKOPTA KAHAMA, APOKELEWA KIFALME – "

Post a Comment