RAFIKI WA KIKE WA MPENZI WANGU ANAOMBA NIMSAIDIE
Waadau habari za wkend....
Jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1. Kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2. Nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3. Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4. Niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA KONA YA MAHABA❤️😘😍
0 Response to "RAFIKI WA KIKE WA MPENZI WANGU ANAOMBA NIMSAIDIE"
Post a Comment