MAMBO 17 YANAYOWEZWA KUFANYWA NA TANGO - Bongo Loves

MAMBO 17 YANAYOWEZWA KUFANYWA NA TANGO

Wanawake, tunaweza kujadiliana sababu za ongezeko la matumizi ya tango licha ya kuwa kuna wanaume? Nilipokuwa ndani ya gari, nilisikia wanawake wawili wakiongea huku wakitabasamu. Kulingana nao, wanaume hupongezwa bure tu. Kulingana nao, ikiwa unataka utamu, tembea hapo unaponunua mboga na upate tango (cucumber) ukubwa wa haja. Kulingana na wanawake hao, matumizi ya matunda hayo hayana visa na visanga zaidi ya kuwa yanatosheleza haja. Kulingana na jokeindex, hii ndio sababu ya baadhi ya wanawake kupendelea tango kuliko wanaume. 1. Ukubwa wa tango ya wastani ni inchi sita 2. Tango hukaa ngumu kwa muda wa wiki moja Mambo 17 yanayowafanya wanawake k 3. Tango haitakuambia ukubwa haujalishi 4. Tango huwa haipatwi na msisimko kama mwanaume 5. Huwa haihofu kuhusiana na kutosheleza mahitaji 6. Ni rahisi kuchagua tango 7. Unaweza kushikashika tango mahali popote 8. Tango haiwezi kuandika jina lako au namba kwa choo 9. Ukiwa na tango unaweza kupata nyumba ya chumba kimoja hotelini 10. Tango itakuheshimu asubuhi 11. Ikiwa unaweza kwenda kutazama filamu na tango, unaweza kuketi kiti cha mbele 12. Tango itakungoja mpaka ufike nyumbani 13. Tango haitakula mahindi yako ya kulipuka ukitazama filamu 14. Tango haina mahitaji mengi kama mwanaume 15. Tango haitakuambia ukuje juu 16. Tango haitakuuliza ikiwa wewe ni bikira 17. Tango haitakusema au kukutania kwa kuwa bikira USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA KONA YA MAHABA❤️😘😍

0 Response to "MAMBO 17 YANAYOWEZWA KUFANYWA NA TANGO"

Post a Comment