MASHOSTI WANAVYOWEZA KUHARIBU PENZI LAKO
Msichana unakuwa so transparent mtu akikuona anakusoma nakukujua kilakitu kwasababu ya uongeaji wako. be reserved, “Girl.”
tabia hii kwa wasichana ipo either mahusiano yako super au yamekwenda kombo ataongea.
Hata kwa wanaopendana sana huwa wana share yao katika matatizo. inapotokea hali ngumu kimahusiano, mwanaume atauchuna. Lakini kinyume chake msichana, she tweets kuhusiana na hilo, atapost kwenye wall yake, na simu kibao kwa rafiki zake na kunung’unika kuhusu what a shitty boyfriend aliyenaye.
Sio wasichana wote Lakini ukiwa na tabia hiyo ujue upo kwenye list ya wasichana wanaokera. na mwanaume analichukulia hilo kama kufulia nje nguo yako chafu ya ndani, kwavile hawapendi kuongelea kuhusu mahusiano yao yanapokuwa mabaya na wala hawafikirii kama wanahitaji ushauri katika mapenzi. “MEN REALLY”na ndio maana mahusiano huwa yanaingiliwa mara kwa mara na mdudu anayeitwa HEARTBREAK.
Jichunguze wewe ni mtu wa aina gani kama ni mtu unayeropokaropoka, ukashindwa kujizuia then ni vizuri ukakaa mbali na magroup au story mnazopiga.
Kuwa mwangalifu na rafiki au makundi kwani inawezekana kabisa likawa linachochea wewe kuwa kwenye tabia kama hiyo.Kuna mipaka kwa yale unayoongea ni muhimu kuzingatia.
Unafikiri kuwa muwazi sana kunakufanya wewe udumishe urafiki?
kuwa muwazi kupitiliza kuna faida yoyote?!. unafikiri ni kwanini wasichana huwa wako wazi sana na mahusiano yao? Naomba maoni yako!!
kuwa muwazi kupitiliza kuna faida yoyote?!. unafikiri ni kwanini wasichana huwa wako wazi sana na mahusiano yao? Naomba maoni yako!!
0 Response to "MASHOSTI WANAVYOWEZA KUHARIBU PENZI LAKO"
Post a Comment