Zijue faida za kufanya mapenzi asubuhi kiafya
Read More
Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya
Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu
kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya
zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya
kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi hasa kwa wanandoa ufahamu faida hizi
za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.
FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI
FAIDA ZA KUFANYA MAPENZI ASUBUHI
- Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
- Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
- huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
- Hupunguza shinikizo la damu.
- Huhesabika kama moja ya Zoezi.
- hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
- Hupunguza maumivu ya mwili
- Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
- Inaboresha hali ya usingizi
- Hupunguza Msongo wa Mawazo
0 Response to "Zijue faida za kufanya mapenzi asubuhi kiafya "
Post a Comment