YAJUWE MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI...!!
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini
linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo
huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa kina.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO.
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA.
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?
Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi.
Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.

KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO.
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!
KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI.
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.

Kama
tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi,
hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya
mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.
KUPATA MAGONJWA.
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo

Sms za mapenzi
1. Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako
nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimi ni
wako sikuachi asilani.
2. Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo
maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku
waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa
jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda
mpenzi.
3. Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika
lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona
lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni
yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda
amini kwako nimefika!
4. Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo
wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa
mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu
nafsi, nakupenda sweetie.
5. Mpenzi nimekumiss jamani, sipati meseji wala simu sijui kwanini,
nikikumbuka tunayofanyaga kitandani, natamani ungekuwa nami pembeni
nakunipa mahaba yasiyo kifani, nakupenda si utani hani
6. Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila
nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee
ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe
pekee nayekupenda hapa duniani!
7. Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana
mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila
kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili
nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
8. Naamini uatakuwa umerejea kwenye yako makazi na umechoka na kazi,
tafadhali badili yako mavazi , bafuni ingia upate maji kujimwagia,
natamani kuja kukusaidia mgongo kuusugua na chakula kukuandalia lakini
siku haijawadia, nakupenda dear!
9. Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa
mashavuni, busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa
shingoni, Je wapi nikubusu ili ulale kwa raha sweet ?
10. Mapenz c pombe lkn yanalewesha,wala c dawa lkn yanaponyesha,wala c
maradhi lkn yanaua,wala c kifo lkn yanaliza,wala si katuni lkn
yanafurahisha,wala c fimbo lkn yanaumiza.Ni mimi tu mwenye mapenzi ya
kweli kwako,Nipende daima mpenzi!!
11. USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na
wali,usizidishe siki akawa mkali.
Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.Je,unaendeleaje sakafu wa moyo
wangu?
12.Hakika nakwambia mpenzi wanaokutamani ni wengi lakini ni mimi tu
mwenye hayo mapenzi ya kweli.ziba masikio na usiwasikilize,nia yao
watugombanishe.Nipende daima laaziz wangu!!
Mine coins - make money: http://bit.ly/money_crypto

0 Response to "YAJUWE MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI...!!"
Post a Comment