1 wanda mpenzi wangu wanda katika uzuri ,
wanda katika furaha , wewe ni uwanda wangu pwani yangu napumzika karibu
na wewe, furaha na utulivu niwapo karibu na wewe, I love you
2. najisikia amani saa napokuwa a wewe umekuwa mwalimu wangu katika mapenzi
kwani nimejifunza nini maaa ya kupenda, katika kufurahisha
umenifurahisha najisikia raha napokuwa na wewe , taji ya kichwa changu
katika upendo , unanijali la! nikuache wewe ninde kwa nani?
NAKUPENDA
3. Mpenzi usiku unekuwa mrefu sana kwani nimezoea kuwa na we we karibu
sana, maisha ya Giza yananitesa lini utarudi,? Ningekuwa ndege ningepaa
na kufika ulipo nami ningekupatia zawadi ya busy, usiku mwema babe!
4.
Tazama kumepambazuka mpenzi na nimeiona siku nyingine ya jua, naamini
nawe umeamka salama katika uzuri wako, Mungu amekujalia uzima tena
kwakuwa bado unahitajika kuwajibika, na bado kuna mtu anakuhitaji,
mwangaza Wa asubuhi ulivyo mzuri nawe ukaangaze katika moyo wako mpenzi
wangu, nakutakia kazi njema hats tuonane jioni tena, nitakumiss babe
Mpenzi nikuulize kitu asubuhi hii? Je, ulivyoamka umewaza nini na Je
umetazama nini, mie nilipoamka nikatazama nje kama kumepambazuka nikaona
jua linachomoza nikatamani mapenzi yetu yazidi kuchomoza kila siku yawe
mapya yaliyojaa Amani na furaha, pia nikawaza nifanyenini ili mapenzi
yetu yazidi kuwa moto, hata nakosa maneno ya kukwambia namna
navyokupenda, asubuhi njema babe
0 Response to "SMS ZA MAHABA"
Post a Comment