Mapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu
Akanilalamikia
Money Penny me nina mpenzi wangu tunapendana sana sana sana
Lakini huyu bwana me simwelewi kabisa sikuhizi ni kama mapenz yangu kwake yamekufaaa, huu ni mwaka wa 2 na wa mahusiano lakini yupo addicted na por.nography
Na tukifanya mapenzi nikawa naona simridhishi, nikaamua kum join kwenye sekta ya por.n, akawa ananifanyia kama wa kwenye por.n ndio anaskia raha namwona kabisa yupo satisfied
Lakini money penny me haya mambo ya por.n hata siyapendi kabisa ila nikaamua kujitoa sadaka
Tukaangalia por.n for 6 months bdae nikabamba sms zake ana chat na side chic wanaonyeshana maungo ya miili yao anafurahi mwenyewe na washakutana wakapigana dudu na kufi..rana
Hii ni relationship ya 2yrs na bwana nampenda sana ila sasa sijui nafanyaje tena?
Kuchanganya mapenzi na por.n kumeniulia mahusiano hata sielewi wanaume huwa wanataka nini jamaa!
Eti wadau, huyu shogangu afanyaje?! Bwanake naona kaota mapembe sa sijui tumwongezeeje mkiaa?!
0 Response to "Mapenzi ya Video za Ngono Yameniharia Penzi Langu"
Post a Comment