Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume - Bongo Loves

Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume


VITU 10 AMBAVYO WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUMEVitu 10
1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli.
4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi KwaSiku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa MaraNyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa KubadilishaTabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7.Wana Uwezo Wa Kuishi NaKupendeza Bila Kuwa Na Kazi WalaBiashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria WakitakaKutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Hawapendi pesa

0 Response to "Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume"

Post a Comment