AMKA FAHAMU NA HILI - Bongo Loves

AMKA FAHAMU NA HILI



“LOVE is two way traffic thing”. Unapompenda mtu, nayeye anatakiwa akupende kama wewe ulivyompenda; hapo ndipo unapoweza kuyaongelea hayo kwamba ni mahusiano mazuri; 
lakini inapotokea ukampenda mtu kwa moyo wako wote lakini huyo mtu akakulipa kwakukufanyia vituko, kukuletea maumivu na kukufanya kuwa mtumwa wa mapenzi. yani hasikupende kama wewe ulivyompenda!! Basi ujue hapo kuna matatizo na haukupendwa!


Rafiki yangu, ndugu yangu una maisha mazuri mbele yako, ambayo yanapashwa kuendelea kwa vyovyote vile, kwahiyo  husiruhusu moyo wako kuumizwa au maisha yako kupoteza the“good and bright future” kwasababu ya mahusiano yasiyo na msimamo na yaliyojaa machungu!!!

0 Response to "AMKA FAHAMU NA HILI"

Post a Comment