KITU GANI KINAMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI KILA SIKU??? - Bongo Loves

KITU GANI KINAMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI KILA SIKU???



Kuna msanii alihojiwa na Radio moja wapo hapa nchini akasema yeye huwa anafanya mapenzi kila siku tar 1 hadi tar 30 mkewe akiwepo. sasa mimi sina experience na hili maana najiuliza na nauliza washkaji wa JF naomba kujua
Ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume au mwanamke kuwa na hamu ya kufanya mapenzi Kila siku hata kama ni kimoja tu kwa siku ila anakuwa anafanya kuanzia tar 1 hadi 28 au hadi 30 mwezi wote kasoro siku ambazo atakuwa kwenye siku zake kwa mwanamke na siku za danger anatumia kinga kama Cond*m au sindano au njia nyingine ya kuzuia.
Mwanaume au Mwanamke wa aina hii nini huwa kipo nyuma yake kinachomfanya aone kuwa ni lazima (its a must) yeye kupata kila siku. Je ni tatizo la kiafya au ni chakula anachokula ndio husababisha au kuna nini.
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "KITU GANI KINAMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KUFANYA MAPENZI KILA SIKU???"

Post a Comment