Nandy & Billnass Msimlipe Amber Rutty, Mashabiki Waomba! Penzi Ladaiwa Kurudi Kwa Kasi
Ulidhani yamekwisha! ndo kwanza limenoga!
Wasanii Faustina Mfinanga maarufu Nandy na mwenzie Bill Nass wametrend tena katika mitandao ya kijamii baada ya kuonekana katika picha mbalimbali wakiwa pamoja na kuzua gumzo kubwa mtandaoni.
Wawili hao walishawahi kuwa kimapenzi na ilikuja kuthibitishwa baada ya clip waliyojirekodi wakiwa faragha kuvuja, video hiyo ilileta tabu sana mjini na ikazua mitindo mbalimbali na majina flani hivi kama vile Billnas akaitwa mzee wa ‘ndole’ na Nandy nae…hata sijui ha ha ha!
Wawili hao walikua kwenye show iliyobatizwa jina la Nandy Festival iliyofanyika siku ya jumamosi mjini Bukoba, mbali na wasanii hao pia walikuwepo wengine kama Dogo Janja na Saida Kalori.
Hakika siku ya Jumamosi mashabiki wa muziki mjini Bukoba walienjoy burudani ile mbaya.
Penzi limerudi kwa kasiiiiiiiiiiii
Picha walizopiga wawili hao na kuzipost katika kurasa zao za mitandao ya kijamii zimezua jambo huku wengi wakiamini kuwa, wawili hao wameamua rejesha penzi lao mbali na hilo wananchi wa mtandaoni bado hawajasahau ile video cheki hizi hapa reactions zao kwenye post ya Nandy utacheka;
carrymastory
msikumbushie π♀️π♀️π♀️π♀️ππ
mulua_boi
NA NYIE TOENI KICHUPA KINGINE SI MMEONA WENZENU AKINA AMBER RUTTY JANA WAMEACHIA TENA AU NDO MPO LOCATIONππππππ
omiwizy
Kuna chupi mtumba mpya zimeingia mjini VP unahitaji
lovelessdeo
Safari hii uvaae chupi nzur nandy usije ukatia aibu tena
Haikuishia hapo tu , Nandy siku ya jumapili alipost a pic akiwa tena kwenye kaburi la marehemu Ruge Mutahaba, wanachi hao wa mtandaoni wakaendelea kumkumbushia msanii huyo kuwa mbona hajaenda na Bill Nass sehemu hiyo;
Cheki mwenyewe;
princess__bongo
Mbona billnas hayupo hapo
zarrithebosslady_
Ukaona bora bill nass asiwepo maana marehemu angejisikia vibaya
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️ππ https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "Nandy & Billnass Msimlipe Amber Rutty, Mashabiki Waomba! Penzi Ladaiwa Kurudi Kwa Kasi"
Post a Comment