BORA KUISHI MWENYEWE KULIKO KUISHI NA MWANAMKE WA AINA HI - Bongo Loves

BORA KUISHI MWENYEWE KULIKO KUISHI NA MWANAMKE WA AINA HI

Maana halisi ya bikira ni hali ya kutokuwahi kufanya mapenzi tangu kuzaliwa sasa wanaume mnakataa kwamba hamna bikira kwa sababu mnadhani bikira ni ile ngozi tu inayoziba njia ya mwanamke au ni ile damu tu inayomtoka mwanamke anapofanya mapenzi kwa mara ya kwanza (hivyo vinaweza kutolewa hata kwa vitu vingine mfano mwanamke kuendesha sana baiskeli lakini haimaanishi kwamba mwanamke anakuwa siyo bikira kwani haujawahi kusikia hayo?)
La hasha bikira ni zaidi ya hayo yaani virginity means purity and anyone can be pure whether a man or a woman labda kama uniambie kuwa wanaume huwa mnazaliwa tayari mmeshawahi kufanya mapenzi ila tofauti na hapo we are all virgins hadi pale ambapo sehemu zako za siri zitakutakana na za mwenzako wa jinsia tofauti kwa mara ya kwanza au labda uniambie mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje?
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "BORA KUISHI MWENYEWE KULIKO KUISHI NA MWANAMKE WA AINA HI"

Post a Comment