NATAKA WATOTO WAWILI WA KIKE NA WAKIUME ILA SITAKI MKE. - Bongo Loves

NATAKA WATOTO WAWILI WA KIKE NA WAKIUME ILA SITAKI MKE.

Read More

Habari wakuu
Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

Related Posts

0 Response to "NATAKA WATOTO WAWILI WA KIKE NA WAKIUME ILA SITAKI MKE. "

Post a Comment