Aika wa Navy Kenzo Mbioni Kupata Mtoto wa Pili - Bongo Loves

Aika wa Navy Kenzo Mbioni Kupata Mtoto wa Pili


Aika wa Navy Kenzo Mbioni Kupata Mtoto wa Pili





Kipindi cha ujauzito wa mtoto wao wa kwanza

Msanii wa muziki Bongo, Aika ambaye anaunda kundi la Navy Kenzo na mpenzi wake, Nahreel wapo mbioni kupata mtoto wa pili.

Wawili hao ambao wanafanya vizuri na wimbo 'Katika' waliomshirikisha Diamond Platnumz, wameelezea ujio wa mtoto wao huyo ambaye tayari wamempatia jina la Jamaika.

"Zimebaki siku chache JAMAIKA aungane na sisi Inshallah," ameeleza Aika.

Utakumbuka kuwa mtoto wao wa kwanza ambaye ni wa kiume walimpata December 2017 na kumpa jina la Gold.
USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "Aika wa Navy Kenzo Mbioni Kupata Mtoto wa Pili "

Post a Comment