NYUMBA NDOGO CHANZO CHA KIFO KWA WANAUME WENGI
Baba yangu aliwah nambia ,Usije thubutu kumuacha mkeo kwa sababu zako binafsi , ukaoa mke mwingine, na usije thubutu Kumuongezea Mkeo ,Mke wa pili.
Kiukweli wakuu, kama mtatoa muda wa kutafakar sanaaaa Baadhi ya Vifo vya wanaume wengi hapa Dunian hususan Tanzania Yetu,, Vifo vingi sana vya wanaume walofanikiwa kimaisha kisha wakaamua kumuacha mke walosota naye kutafuta maisha na kuoa mwanamke mwingine, au Kuongeza mke wapili.....
Basi Siku Mwanaume huyu akifa, Kama sio Kifo cha haki ,basi kuna Uwezekano mkubwa wa Mke wa Pili kuhusika na kifo iko... Kwann mke wapili?? Kwa sababu anakua hana uchungu naww, mara nyingi wanaolewa kwa sababu hasa hasa za Kimaisha yaaan hakupendi isipokua hamna namna , kiukweli kabisa, Ukiachana na masuala ya kidini ,HAMNA MWANAMKE ANAYEPENDA KUA MKE WA PILI ,KILA MWANAMKE ANATAMAN AMMILIKI MUMEWE YEYE MWENYEWE KWA KUA WAMEUMBWA NA MOYO ULOJAWA NA WIVU .
Ukikuta Anataman kua mke wa pili ,basi anakua kuna kitu kilichombana kiasi kwamba anaona "Nipo tayar "kubadili" dini, nipo tayar kua "hata" mkeo wapili"....( na huyu ukishindwa kumuoa, Utasikia anasema "Nizalishe basi niwe na mtoto wako"".
Tena bora ya hawa ambao toka wanazaliwa Dini inawafunza Kua mke wa pili, au watatu au wanne ... Lkn hawa wengine ukishamuoa au kumfanya mchepuko, Atataka sasa aingilie mpaka ya ndan mpaka mgombane na mkeo mkubwa n.k n.k
Embu fanyen utafit , angalien vifo vyenye ukakasi ,ukakasi huo ulitokana nanan??
,MKE WA PILI NI SAWA NA SIMBA AWINDAE KIMYA KIMYA .
Mtizamo tu!!
0 Response to "NYUMBA NDOGO CHANZO CHA KIFO KWA WANAUME WENGI"
Post a Comment