NUSU NITEMBEE NA KAKA YANGU - Bongo Loves

NUSU NITEMBEE NA KAKA YANGU


amani yamenikuta mwenzenu, juzi siku ya Jumapili kulikua na event nyumbani, wakaja ndugu na jamaa, sasa kuna Binamu yangu ambaye tulishakutanaga siku za nyuma kwenye harusi ya kaka yetu mmoja hivi tukajikuta tunashangaana, upande wangu I was like woow! I met a man from my dream, nilimpenda kwa ufupi, after asking my sister ndo akaja niambia he is ur cousin.
Basi tukawa marafiki tu na ndugu ofcoz, sasa hii juzi alivyokuja tukawa pamoja kwa mda mrefu sana! it was my father's birthday tukawa tunahudumia vinywaji pamoja mpaka event ilivyoisha, nyumbani kuna kisehemu kimejificha ndani ya garden, kuna yale maua marefu so si rahisi mtu kukuona kwa usiku, nikabeba bia zangu za kutosha nikaenda kukaa pale.

Sijui aliniona au vipi nae akaja! hapo wazee wapo ndani wanapiga stori zao, basi tumekaa tunakunywa pale na stori tukajikuta tunakiss, sio siri jaman! I wish he wasn't my cousin, bahat nzuri hatukufanya chochote kingine, just touching en kissing nikajifanya nimeshtuka nkaondoka nikaingia ndani.

Sasa toka hiyo juzi ananipigia nashindwa kupokea wala kujibu msg zake! najifikiria nitaanzaje kumuangalia tukionana, japo yeye ameniomba msamaha kwa text na kusema it just a feelngs he has for me ndo mana imetokea hivyo, na the first day ameniona amenambia yale yale nilokua namfikiria mimi.

Si kwamba sikutaka itokee! ofcoz na mimi nampenda, ila kwa hii loneliness niliyokua nayo nahisi tutaelekea pabaya na ananambia nisipoongea nae about this atamwambia my sister how much he luv me na ikiwezekana my mom, yuko tayari aonekane chizi.

Nifanyeje jamani.
~BelieUSISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍 https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.konayamahaba.app&hl=en

0 Response to "NUSU NITEMBEE NA KAKA YANGU"

Post a Comment