NAFIKA KILELENI MARA KWA MARA NIKISIKIA SAUTI NA MILIO FULANI - Bongo Loves

NAFIKA KILELENI MARA KWA MARA NIKISIKIA SAUTI NA MILIO FULANI

Binti huyu mwenye umri wa miaka 22 anasema, maisha yake yameharibiwa na mfumo wa homoni zake za mwili ambapo anaweza kufikia mshindo mara kwa mara anaposikia sauti za aina fulani. Anasema sauti ya muziki, magari yanapotembea, treni na hata milio ya simu ni kati ya vitu vinavyomfanya kufikia hali hiyo mara kwa mara na kusababisha ashindwe kuwa huru katika maisha yake. Wengi wanaweza wakasema kwamba anapata raha, lakini sio kweli kwani ugonjwa huu unamtokea sehemu yoyote ambapo haustahili kumtokea mtu wa kawaida hali ambayo kwa mujibu wake inamsababishia karaha...Ushauri wako wahitajika Please comment KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍

0 Response to "NAFIKA KILELENI MARA KWA MARA NIKISIKIA SAUTI NA MILIO FULANI"

Post a Comment