MWANAMKE KALIO BWANA SURA HATA MBUZI ANAYO
Nimekutana na hii Mahali:
"Mwanamke mwenye kalio halali na njaa hapa town hata awe na sura mbaya vipi
Hakuna mwanaume atakayegeuka nyuma kumuangalia mwanamke mwenye sura nzuri
Siku zote wanaume wanageuka nyuma kuangalia mwanamke mwenye kalio la kutosha.
Wanaohongwa magari na nyumba wengi ni wenye makalio makubwa, wenye makalio kama wamepigwa pasi wanaishia kuhongwa vocha tu.
Achana na Wezere Bana......KALIO KWANZA, Sura peleka kwa mzee wako"
0 Response to "MWANAMKE KALIO BWANA SURA HATA MBUZI ANAYO"
Post a Comment