MUME ASHARE HOUSE GIRL KINGONO NA MTOTO WAKE WA KIUME - Bongo Loves

MUME ASHARE HOUSE GIRL KINGONO NA MTOTO WAKE WA KIUME

Habari za Asubuhi wadau,Mi naelekea Kanisani,Mungu Awabariki sana sana, Hii issue imeniuma sana sijui nijiandae vipi.....ok Mtaani kwetu kuna Baba Mmmoja alikuwa anatembea na housegirl wake,sasa siku moja Mama watoto akawatega,akamufukuza housegirl aende kwao,nae alimuaga Mume wake kuwa anasafiri kidogo angerudi kesho yake,alimfukuza house girl bila kumtaarifu mumuwe,kuwa akirudi atampaa taarifa tu,house girl huyooo kwao,na yeye badala ya kusafiri akaenda sehemu akawahi kurudi,jamaa kurudi,kala,kamaliza mida kama ya usiku Mume kama kawaida yake ilikuwa akifika usiku huamka na kuingia chumbani kwa house girl,akalala,kumbe usiku Mama watoto ndo kalala,kuanza kumwamsha na kupapasa akakuta ni mke wake,ugomvi ulianza pale,huko ndani,Yule kijana alikuwa hajui,aliposikia hivyo aliumia sana kuwa duu kumbe na Mdingi anakula house girl,Mtu ana share na mtoto wake bila kujijua,kijana akawa anawaambia rafiki zake.Jamani hivi hawa watoto wetu wa kiume tufanyaje wasitembee na house girl,kuna watu wanasema haiwezakani lazima tu kama una mtoto wa kiume atatembea tu na housegirl nini Ushauri wako?USISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍

0 Response to "MUME ASHARE HOUSE GIRL KINGONO NA MTOTO WAKE WA KIUME "

Post a Comment