MAMBO 4 YA KUFANYA UKIFUMANIWA - Bongo Loves

MAMBO 4 YA KUFANYA UKIFUMANIWA

Read More



1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako.
2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi)

3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda).

4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu dhambi ya uzinzi

Related Posts

0 Response to "MAMBO 4 YA KUFANYA UKIFUMANIWA"

Post a Comment