Hizi Siku za Sikukuu Ukiona Mchumba Ama Mke au Mume Anakukwepa Kwepa Ujue Unamegewa
Hizi Siku Za Sikukuu Na Weekend Ndo Siku Ambazo Michepuko Uasherati Unafanyika So Kwa Wale Ambao Wako Kwenye Mahusiano Alafu Wamepanga Appointment Leo Alafu Mambo Yamebuma Ujue Unamegewa,na Wale Ambao Wameoa Alafu Wake Zao Wamepata Safari Za Ghafla Mara Naenda Kumuona Mama Au Shangazi Ujue Unaibiwa.
Ukiona Mumeo Naye Anakuambia Kuwa Anaenda Kutembea Kwa Washkaji Zake Ujue Kuna Michepuko. Hivyo Siku Kama Ya Leo Wenye Familia Walipaswa Kutoka Na Familia Zao Na Wanandoa,wachumba ,na Wapenzi Pia Nao Walipaswa Kutoka Pamoja.
NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA MIE NIMELALA NA MGEGEDO WANGUUSISAHAU KUSHARE NA KUCOMMENT APPLICATION YETU YA KONA YA MAHABA❤️😘😍
0 Response to "Hizi Siku za Sikukuu Ukiona Mchumba Ama Mke au Mume Anakukwepa Kwepa Ujue Unamegewa "
Post a Comment