Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake - Bongo Loves

Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake


Mambo 7 ambayo mwanaume apaswi kumfanyia mke wake..

1. Usimpige.

2. Usimtukane na kumshushia heshima.

3. Usimfanye ajihisi hapendwi na anamkosi.

4. Usimbake.

5. Usimsaliti na kujionyesha kabisa kwamba una saliti.

6. Msikilize pale anapokua na stress, mpe muda wako, mkumbatie na mpe maneno ya faraja.

7. Mpe zawadi, hata kama ni ndogo kiasi gani kwake ni alama tosha.

0 Response to "Mambo 7 ambayo mwanamme hapaswi kumfanyia mke wake"

Post a Comment